Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Prof. Mabula Mchembe amezitaka hospitali binafsi kutoweka gharama kubwa za matibabu kwani zinawazuia wananchi kwenda kutibiwa. Amesema hayo baada ya taarifa ya Hospitali ya Kairuki ikionesha gharama kubwa za matibabu ya matatizo ya upumuaji kusambaa.
#BinagoUPDATES
Post a Comment