"Hakuna sehemu ya mkataba wake inayosema asifanyiwe mabadiliko, najua hakupenda nilivyomtoa lakini ilikuwa ni muda pekee kwake kupumzika tayari kwa mechi zijazo za Serie A hata kama ni dakika chache"
Pirlo kuhusu kumfanyia mabadiliko Ronaldo hapo jana dhidi ya Inter akiwa tayari kaweka kamba mbili (mabao mawili)
#BinagoUPDATES
0 Comments