Waziri wa Elimu, Prof. Joyce Ndalichako amesema kuwa somo la Historia ya Tanzania litaanza kufundishwa kuanzia muhula wa pili, Julai 2021 na litafundishwa kwa kwa Lugha ya Kiswahili ili lieleweke. Aidha, watakaoanza kufanya mtihani wa somo hilo ni waliopo kidato cha pili sasa.
#BinagoUPDATES
Post a Comment