BOCCO KUACHWA SIMBA IKITIMKIA CONGO

BOCCO KUACHWA, SIMBA IKITIMTIKIA CONGO
 
Klabu ya Simba inatarajia kuondoka leo majira ya saa 10:00 alasiri kuelekea DR CONGO kwaajili ya mchezo wa klabu bingwa Afrika dhidi ya AS VITA CLUB.
 
Simba itaondoka na kikosi cha watu 44 (Wachdzaji 26, benchi la ufundi 9 na staff wengine 9). Nahodha John Bocco hatosafiri na timu kwasababu ya majeraha.

Simba itaondoka na ndege ya shirika la Ethiopia.
#BinagoUPDATES

No comments