YANGA TUNA MAJERUHI WANNE

MAJERUHI JANGWANI: SAIDO, YACOUBA

Kikosi chetu kina majeruhi wanne ambao ni kiungo mshambuliaji wetu Saidi Ntibazonkiza ‘Saido’, washambuliaji Michael Sarpong na Yacouba Sogne na beki Dickson Job.

Yacouba na Saido na Job wote bado waanasumbuliwa na majeraha ya nyama za paja, huku Sarpong yeye akiwa ameumia goti.

Illa kwa sasa wote wanaendelea kuwa chini ya uangalizi wa madaktari, hii ndiyo sababu walikosekana kwenye mchezo wa Jumamosi dhidi ya African Sports,” Hafidh Saleh, Meneja wa kikosi cha klabu ya Yanga.
#BinagoUPDATES

No comments