THOMAS TUCHEL AMALIZANA NA CHELSEA, ASAINI MIAKA 4

Confirmed ... ✍

Thomas Tuchel Asaini mkataba wa miaka minne na nusu kuiendesha timu ya Chelsea baada ya Kocha Frank Lamprad kutimuliwa klabuni hapo.

Unaweza kusema ...Thoms Tuchel na mda mfupi kutoka sasa mapicha picha  yatahusika humu ndani,
#UNAAMBIWA Wengi wenu mtaiona tofauti iliyopo kwa kocha mwenye exprience kubwa na kocha ambae bado anajifunza kazi ...

#BinagoUPDATES

No comments