NENO "KIBAMIA" MARUFUKU KUANZIA SASA

NENO KIBAMIA KUANZIA SASA NI MARUFUKU,ADHABU YAKE NI FAINI AU KIFUNGO

Waziri wa Afya , Maendeleo ya Jamii , Jinsia , na Watoto , Ndugu Doroth Gwajima amepiga Marufuku Neno Kibamia linalotumiwa sana na Wanawake katika kuwadhalilisha Wanaume hasa wakiachana.

Kuna tabia imeibuka siku za karibuni na imeendelea kuota mizizi unakuta dada akiwachana tu na aliyekuwa mpenzi wake basi silaha ni kumtangaza kwamba ana 'kibamia' huu ni udhalilishaji kama udhalilishaji wa kijinsia na wanaume wengi wameharibiwa saikolojia kwa kutamkiwa neno hili 'kibamia' hivyo ni marufuku neno hili kutumika kwenye jamii na mwanaume akidhalilishwa kwa kutamkiwa neno hili akaripoti kituo cha Polisi adhabu ni faini ya kulipwa laki tano au mtenda kosa aende jela miezi sita au vyote kwa pamoja.

Waziri wa Afya, jinsia, wazee na watoto Mhe. Doroth Gwajima.

#BinagoUPDATES

No comments