Klabu ya simbasctanzania, imekamilisha usajili wa aliyekuwa beki wa timu ya Highlanders FC ya nchini Zimbabwe, Peter Muduhwa.Muduhwa amejiunga na Simba SC akitokea Cameroon kwenye kikosi cha Zimbabwe ambacho kinashiriki CHAN.#BinagoUPDATES
Post a Comment