EMMANUEL MAGANGA AFARIKI DUNIA

#TANZIA Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Brig.Jen Mstaafu Emmanuel Maganga amefariki Dunia wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Milambo Mkoani Tabora usiku huu, RC wa Tabora Dr. Philemon Sengati amethibitisha.
#BinagoUPDATES

No comments