RAISI JOE BIDEN APEWA CHANJO YA COVID19 AKIWA MBASHARA

#JEWAJUA?! Rais Mteule wa Marekani, Joe Biden amepewa chanjo ya #COVID19 akiwa mbashara kwenye runinga ikiwa ni njia ya kuwashawishi na kuwatoa hofu Wamarekani kuhusu chanjo hiyo. Biden amewasihi wananchi kuvaa barakoa na kusikiliza ushauri wa wataalamu ili kudhibiti maambukizi ya #COVID19.

#BinagoUPDATES

No comments