PASCHAL WAWA; TUTAPAMBANA VIKALI DHIDI YA FC PLATINUM KUPATA MATOKEO CHANYA

BEKI wa kati wa Simba, Pascal Wawa amesema kuwa watapambana Desemba 23 mbele ya FC Platinum kupata matokeo chanya.

Simba ipo Zimbabwe ikiwa Kwenye maandalizi ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika ambao unatarajiwa kuchezwa Desemba 23, Uwanja wa Taifa wa Zimbabwe. 

"Tutahakikisha tunapambana kufanya vizuri kwenye mchezo wetu ili tufike mbali,"

Paschal Wawa - SIMBA SC

#BakiNaSisi

No comments