RAISI DKT. JOHN POMBE MAGUFURI AUNGANA NA WAUMINI LEO KANISANI
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI;"
Rais Wetu mpendwa Mheshimiwa Dokta Magufuli leo ameungana na Waumini wa Kanisa Katoliki Parokia ya Bikira Maria Imakulata,Ikulu Chamwino kusali Misa Takatifu ya Christmas ambapo amewapongeza na kuwatakia heri Watanzania kwa sikukuu hii na amewataka kuendelea kumshukuru Mungu anayolitendea Taifa la Tanzania.
Post a Comment