KATIBU MKUU WA BARAZA LA SANAA TANZANIA GODFREY MNGEREZA AFARIKI DUNIA
#TANZIA: Katibu Mkuu wa Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA), Godfrey Mngereza afariki Dunia"
Taarifa za kifo Chake zimethibitishwa Usiku huu na Watu wa Karibu yake huku chanzo cha kifo chake kikiwa bado hakijawekwa wazi"
Tunatoa Pole kwa Familia yake, Wasanii na Watanzania kwa ujumla kwa Msiba huu Mzito kwa Taifa"
Tutamkumbuka Daima Mh. Mngereza kwa kujitoa kwake na Jitihada zake za kuhakikisha Sanaa ya Tanzania inasonga mbele."
Mungu ailaze Roho yake Mahala Pema Peponi AMIN 🙏🏼
Post a Comment