MTOTO SAIDI AFARIKI DUNIA

Mtoto aliejulikana mitandaoni kwa video fupi ! anayejulikana kwa jina La Saidi amefariki apo jana majira ya mchana huku chanzo kikiwa ni Ugonjwa wa 
"SICKLE CELL"

Taarifa zinasema atazikwa leo Jijini Dodoma wilayani Mpwapwa ambako ndio alikozaliwa mtoto huyo.

Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi Amen ! 🙏

#BinagoUPDATES

No comments