FIFA YAFUTA KOMBE LA DUNIA
FIFA yafuta Kombe la Dunia
Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) limezifuta fainali za Kombe la Dunia za vijana wa U-20 na U-17 kutokana na janga la corona.
Awali, michuano hiyo ilitarajiwa kufanyika mwakani, ambapo Indonesia ingekuwa mwenyeji wa U-20 (Mei 20 hadi Juni 12) wakati zile za U-17 zingefanyika Peru (Februari hadi Marchi).
Post a Comment