RC MKOA WA MTWARA ASEMA ATAKAESHINDWA KUMILIKI NYUMBA YA BATI AHAME MKOA

RC MTWARA: MWANANCHI ATAKAYESHINDWA KUMILIKI NYUMBA YA BATI AHAME MKOA;"

Mkuu wa mkoa wa Mtwara Gelasius Byakanwa amesema kwa mkazi wa Mtwara ambaye atashindwa kumiliki nyumba ya bati baada ya miaka mitatu kuanzia sasa, atalazimika kuhama mkoani humo na kutafuta sehemu nyingine ya kuishi"

Amezungumza hayo akiwa katika kampeni aliyoianzisha ya “Ondoa Mapori, ongeza uzalishaji”, iliyolenga wananchi kusafisha mashamba yao ya Mikorosho ili kuongeza uzalishaji wa zao hilo mkoani humo."
#BinagoUPDATES

No comments