BRODIE WA WWE AFARIKI DUNIA•
MKALI WA ZAMANI WA MIELEKA (WWE) 'BRODIE LEE' AMEFARIKI DUNIA AKIWA FLORIDA MAREKANI.
TAARIFA ZILIZOENEA AWALI ZILIDAI KUWA BRODIE (41), AMEFARIKI KWA CORONA, HATA HIVYO FAMILIA YAKE IMEKANUSHA TAARIFA ZA CORONA KUWA CHANZO CHA KIFO CHAKE.
Post a Comment