MWANAHABARI MASHUHURI WA BOBI WINE APIGWA RISASI

Mwanahabari Ashraf Kasirye aliyekuwa akinakili na kupeperusha video za kampeni za Bobi Wine nchini Uganda amepigwa risasi kichwani akiwa eneo la masaka magharibi mwa Uganda.
#BinagoUPDATES

No comments