WAZIRI MKUU MPYA KUJULIKANA HADHARANI KESHO
WAZIRI MKUU MPYA HADHARANI KESHO
KITENDAWILI cha kumpata Waziri Mkuu wa Tanzania baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28, mwaka huu, kitatenguliwa kesho"
Ama atateuliwa Kassim Majaliwa aliyemaliza muda wake kwa kipindi cha kwanza hivi karibuni, au atateuliwa Waziri Mkuu mwingine mpya, ukweli utawekwa wazi"
Post a Comment