KURT ZOUMA ASAINI MKATABA WAKUDUMU CHELSEA
Mchezaji wa timu ya Chelsea FC wazee wa Stamford Bridge, Kurt Zouma BEKI - DEFENDER (26) habari zinasema kuwa mchezaji huyo ataendelea kuitumikia miamba hiyo mpaka 2025"
Kurt Zouma mpaka hivi sasa ana rekodi nzuri, tangu beki Thiago Silva asajiliwe klabuni hapo kumekuwa na "tafu" Hatari sana kwa timu hiyo"
Katika Ligi ya EPL amecheza mechi 7, amefunga magoli 3, akiwa hana assist hata 1, lakini amefanikiwa kuondoka na cleen sheets 3 akiwa kama beki"
Unaweza kuona richa yakuwa beki pia ana uwezo kufunga pia."
Nini Maoni ! Yako
.
.
.
.
.
#BakiNaSisi #BinagoWorldWide #CONTRACT
Post a Comment