SWALA LA KUPOTEZA POINT HALIPO KATIKA VICHWA VYETU

Tunamshukuru Mungu kwa hapa tulipofika, suala la kupoteza pointi halipo kwenye vichwa vyetu. Kwenye upande wa usajili tayari tuna mchezaji mmoja, Said Ntibazonkiza ambaye atajiunga dirisha dogo" 

Taarifa za Mwamnyeto na Feisal Salum kutakiwa na TP Mazembe hatujazipata bado lakini ni taarifa ya faraja kwetu kuona kwamba tunakuza vipaji vya wachezaji na ni faida kwa timu na taifa kwa ujumla"-Eng. Hersi Said Mkurungezi wa GSM na Mjumbe Kamati ya Usajili."
#BinagoUPDATES
.

No comments