MWALIMU MONTFORT MBARONI KWA KUBAKA, KULAWITI MWANAFUNZI WA MIAKA 10

MWALIMU MONTFORT MBARONI KWA KUBAKA, KULAWITI MWANAFUNZI MIAKA 10;"

Kamanda wa Polisi mkoani Morogoro Wilbroad Mutafungwa amesema wamemkamata mwalimu Eneza Eneza (27) wa Shule ya Montfort iliyopo Kola B, akituhumiwa kumbaka na kumwingilia kinyume na maumbile mara kadhaa mwanafunzi wake wa kike wa darasa la tano mwenye umri wa miaka 10"

Kamanda Mutafungwa amesema mwanafunzi huyo alipohojiwa alidai kuingiliwa kinyume na maumbile na kubakwa na mwalimu wake mara kadhaa maeneo ya ofisini na chooni wakati wanafunzi wenzake wanapokuwa darasani"

Mutafungwa , amesema kutokana na maelezo hayo Polisi walimfuata mwalimu ambaye ni wa taaluma na kumkamata na alipohojiwa alieleza kuwa yupo katika shule kwa  miaka minne na pia alikiri kumwingilia kinyume na maumbile na kumbaka mara kadhaa mwanafunzi wake."
#BinagoUPDATES

.
.
.
.

#ukatiliwakijinsiahaukubaliki #BakiNaSisi #Amani

No comments