LAMINE MORO ANAENDELEA VYEMA BAADA YAKUPATA MAJERAHA KATIKA MECHI YA KARIAKOO DERBY NA SIMBA SC
LAMINE MORO YUPO VIZURI BAADA YA KUUMIA KWENYE DEEBY JUMAMOSI
Lamine anaendelea vyema tulidhani aliumia sana lakini haikuwa hivyo ni maumivu madogo na atarudi haraka tu kazini na kuna uwezekanohata akacheza mchezo wa Namungo kama makocha na madkatari wataona inafaa."alisema Meneja wa Yanga Hafidh Saleh."
Post a Comment