CHAMA TUSHAMALIZANA NAE KITAMBO SANA

CHAMA TUSHAMALIZANA NAE
 
 Sikiliza Mdogo wangu kama unavyonijua mimi siwez kukuficha jambo naomba tu usinitaje jina kinachofanywa na Yanga ni propaganda ya kujiliwaza,ukweli ni kwamba tulishamalizaba na Chama tangu Alhamisi iliyopita na kaongeza mkabata wa miaka miwili wenye thamani ya million 400 na mshahara million 15"-Mjumbe Bodi ya wakurungenzi,Simba."
 
Ni suala la Muda tu tutajua ukweli."
#BinagoUPDATES

No comments