Mch Daniel Mgogo ndani ya Shinyanga
Usikose,ni mkutano muhumi kwa wana ndoa na Mch Daniel Mgogo pale Shinyanga FPCT Christian center Ngokolo Mitumbani Shinyanga,kuanzia trh 2 hadi trh 8 mwezi wa 8 mwaka huu 2020!karibu sana!
Tunasema TIBA YA WANA NDOA IMETUFIKIA! Usikose hata siku moja!
Barikiwa
Usisahau ku subscribe YouTube channel yetu ya BinagoTv
Post a Comment