Muhubiri Dar afunguka kutoza malipo kwa kila anaetaka kuombewa na yeye
Dar es Salaam.!
Prophet Nicolaus Suguye wa Kanisa la WRM Kivule Dar es salaam amefunguka kuhusu taarifa za yeye kulazimisha kila Mtu anaetaka kuombewa na yeye kulipia maombezi hayo kwa lazima kanisani kwake Kivule Dar es salaam.
Phrophet Suguye ameonge na kusema kilichotokea ni kwamba aliomba Watu wanaokwenda kuombewa nae kuchangia pesa kwa ajili ya kuanzisha TV ya kanisa iitwayo WRM ambayo inapatikana STARTIMES na kwenye AzamTV, hivyo hakulazimisha.
“Nilisema wale wanaotaka kuja kuombewa kwenye ibada kanisani iliku bure kabisa lakini kwa waliotaka kuniona wenyewe ofisini kwangu ndio nilisema wachangie TV, hata hivyo hakuna tena huo utaratibu wa kuchangia TV, hiyo laana ya kutoza watu pesa kwa maombezi sina” – Nicolaus Suguye

Post a Comment