MWAMNYETO haikataa Simba
- Mlinzi wa kati wa klabu ya Yanga, Bakari Mwamnyeto ameanza mazungumzo rasmi kupitia Menejiment yake na Yanga ili kuongeza mkataba mpya kwasababu mkataba wake na Wananchi unamalizika mwishoni mwa msimu huu.
- Bakari Mwamnyeto alishapokea ofa kutoka klabu ya Simba lakini ameipa kipaumbele kikubwa zaidi klabu ya Yanga ili aongeze kandarasi ambapo kwasasa ameipa kipaumbele kuanzia ofa yao na vipengele vingine vya kimkataba ijapo hajasaini karatasi zozote mpaka hivi sasa.
- Beki huyo wa kati wa Yanga yupo kwenye rada za Wekundu wa Msimbazi ili kuongeza nguvu ndani ya kikosi kuelekea msimu ujao, na wanapambana kumshawishi kumalizana mapema.
Post a Comment