Simba anaweza kufika Fainali klabu Bingwa Afrika
✍🏻SIMBA vs AL AHLY, inawezekana hii ndio ikawa njia ya klabu ya Simba kutinga fainali klabu bingwa Afrika na sio tu nusu fainali, unaweza ukahoji why? Simba sio underdog kwenye hii michuano ya klabu bingwa Afrika : Simba ina EXPERIENCE na EXPOSURE na michuano ya kimataifa
✍🏻Naona kuna uwezekano mkubwa kwa Simba wakabattle nyema na Al Ahly, Simba kwa Tanzania na Afrika Mashariki ndie timu iliyo na roho kadhaa zaidi kwenye michuano ya klabu bingwa Afrika : akiwa kwenye michuano hii huwa ana SWITCH ON why?
1: Ana Experience plus Politics, uzoefu wake wa kushiriki michuano hii inampa faida ya kudhibiti hali ya mchezo wowote : Politics wanaipatia sana
2: Exposure plus Science, maandalizi mazuri ili kudhibiti hatari kwa mpinzani kutokana na Politics yake zaidi : matumizi mazuri ya science huwapa faida ya kulink vizuri na mpinzani yoyote
✍🏻Al Ahly ni timu kubwa na nzuri sana lakini haimaanishi uitoe Simba kwenye equation kuwa haiwezi kufanya kitu, Simba asichukuliwe poa kabisa : Simba asionekane hana mwendo kabisa, hata namna amezicheza na kumaliza mechi za makundi na kufuzu robo iwe sehemu ya kuamini / kufahamu kuwa kuna kitu wanaweza kufanya
✍🏻Jinsi Simba walivyokuwa wakicheza games vs Al Ahly inaonesha wazi kuwa wanaweza kufanya vitu vinavyohitajika hadi kutinga nusu fainali, Al Ahly anaweza pia kumuondoa Simba ikiwa Simba hata make a decision kwa usahihi : Simba inapaswa azichange karata zake vizuri na viseversa kwa Al Ahly
CC moshi jr
Post a Comment