Kuhusu Timu ambazo zimefuzu hatua ya 16 bora UCL, Je Ligi ya Uhispania ni bora Duniani?
Timu ambazo zimefuzu hatua ya 16 bora UCL
1: La Liga timu - 4
✍🏻Real Madrid
✍🏻Barcelona
✍🏻Atletico
✍🏻Sociedad
2: Bundesliga timu - 3
✍🏻Bayern Munich
✍🏻Dortmund
✍🏻RB Leipzig
3: Serie A timu -3
✍🏻Inter Milan
✍🏻Lazio
✍🏻Napoli
4: EPL ( Ligi wanayosema bora Duniani ) timu -2
✍🏻Man City
✍🏻Arsenal
5: Denmark na Uholanzi moja moja
✍🏻Copenhagen na PSV
Halafu wale wawili wa EPL wameshika mkia kabisa katika makundi yao , inaonekana wanapenda sana Top 4 tena wawe wanne wenyewe 😀 , Serie A mmoja aliyeshindwa kufuzu kaangukia Europa ( AC Milan ) na Bundesliga mmoja kashika mkia Union Berlin .
LA LIGA wamekuwa wanaonea sana mashindano ya Ulaya ... iwe UCL na Europa katika miaka 15 iliyopita wametawala sana .
Post a Comment