Advertisement

Responsive Advertisement

TEN HUG AVUNJA UKIMYA DHIDI YA REFARII


 Kikosi cha Manchester United kimepoteza gemu 9 ndani ya mechi 17  chini ya kocha wake mkuu Erick Ten Hug amesema"Lakini ile kadi nyekundu na huu mchezo wetu sina chakufanya na soka"


Ten Hug"Refarii alichukua muda mrefu kuifanya Kuwa kadi nyekundu na goli la kwanza tumefungwa na mchezajia aliyekuwa amezidi(offside)  "


"Mechi imeisha kama ivo na  hii haina chakufanya kwenye soka"


Ikumbukwe Manchester United imepoteza mechi yake kwa kufungwa 4-3 dhidi ya FC kobenhavn na kufanya Man United kuwa wa mwisho kwenye kundi lake



Stream mechi live kupitia App ya Binago TV,download app yetu link ipo kwenye Bio

Post a Comment

0 Comments