SIMBA NA YANGA KADI MBILI BILA KADI NYEKUDU🔥
Tarehe 5,November,2023 ilikuwa mtanange kati ya Simba na Yanga maarufu kama kariakoo derby,ambapo Yanga waliibuka na ushindi wa ambao matano.
Refa alionesha kadi mbili kwa beki wa Simba Che malone maarufu kama Ukuta wa Yeriko,refa huyo hakutoa kadi nyekudu nakuwaacha mashabiki na wadau wa mpira wakipigwa na butwaa.
Tazama tukio hilo kupitia vedio apo juu👆👆
Stream live mechi kupitia Binago TV,download app yetu
Post a Comment