Advertisement

Responsive Advertisement

🚨 KEPA Nje wiki 3


Kepa Arrizabalaga anatarajiwa kukosekana kwa wiki tatu kutokana na jeraha la misuli alilopata wakati akijifua kabla ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa wa Real Madrid dhidi ya Braga.

 ✍️- ESPN FC


🎉Bado hakuna makubaliano kati ya Victor Osimhen na Napoli kuhusu mkataba mpya. 

 Januari inaonekana kuwa ngumu kwake kuondoka, kwa hivyo kuna uwezekano mkubwa msimu ujao wa joto akaondoka Napoli. 

 ✍️FabrizioRomano kupitia Youtube


🎉Roma wanataka kumsajili Romelu Lukaku kwa mkataba wa kudumu wakati mkopo wake wa mwaka mmoja kutoka Chelsea utakapokamilika msimu ujao wa joto.

 Mkurugenzi wa michezo wa Roma, Tiago Pinto anaaminika kuafikiana na chaguo la kulipa takriban £30m ili Lukaku abakie jumla.

 ✍️Sky Sports)


🎉Uwezekano Trevoh Chalobah kwenda Bayern Munich mwezi Januari unaweza kukwama kwa kuwa beki huyo yuko nje kwa majeraha hadi Februari, wakati Bayern wanataka mtu ambaye angewasaidia mara moja atakapowasili Januari

 ✍️Christian Falk, Via Bild Sport]


Post a Comment

0 Comments