RAIS SAMIA AZINDUA MRADI WA UJENZI WA LAMI SINGIDA
Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan leo tarehe 15.10.2023 aweka jiwe la msingi la ujenzi wa Barabara yenye kiwango cha lami kuanzia Makongorosi-Rungwa-Noranga-Mkiwa-Itigi yenye urefu wa kilomita 56.9
Hafla hiyo ya uwekaji wa jiwe la msingi imefanyika katika kijiji cha Mlongojii wilayani Itigi
Rais Dkt Samia Suluhu Hassan alimaliza na kumuagiza waziri wa Ujenzi mh.Innocent Bashungwa na waziri wa fedha mh.Mwigulu kupeleka mipango na mikakati ya ujenzi wa barabara hiyo na kuendeleza ujenzi hadi Makongorosi
Post a Comment