𝗠𝗔𝗞𝗢𝗡𝗗𝗔 𝗜𝗦 𝗕𝗔𝗖𝗞


Halmashauri Kuu ya chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, imemteua Paul Makonda kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi


Anachukua nafasi ya Ndugu Sophia Edward Mjema ambaye ameteuliwa kuwa Mshauri wa Rais Masuala ya Wanawake, Watoto na Makundi Maalum.


Aidha, Rabia Abdallah Hamid ameteuliwa kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI), amechukua nafasi ya Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk ambaye ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na

Uhusiano wa Afrika Mashariki

NB — Wanasema usiongee ukamaliza.

No comments