Klabu ya Mbeya City hawajakubali kufungwa na vigogo Simba, Azam na Yanga msimu huu hadi sasa wakiwa Nyumbani Pamoja na Ugenini
Azam FC 0 - 0 Mbeya City.
Mbeya City 1 - 0 Simba SC.
Yanga SC 0 - 0 Mbeya City.
Mpaka Sasa Mbeya City FC Wanashika Nafasi Ya 04 Nyuma Ya Azam FC, Simba SC Na Yanga SC Wakiwa Na Points 23.
0 Comments