VIONGOZI WA YANGA WANAHITAJI KONGOLE KWENYE HILI

Pamoja na mambo yote hayo lakini Klabu ya Yanga imejipanga bwana, ilichungulia mbali na kuamua kufanya yale ya kiufundi zaidi.

Kama ujuavyo Klabu hua inasajili sehemu mbalimbali kwamaana ya watu wa mataifa tofauti na wenye kuzungumza lugha mbalimbali na hii wakati mwingine huleta shida hasa kwenye kuelewana.

Lakini uongozi ukaona ujiongeze sehemu hii na kuleta Mtu sahihii na muhimu kwa wakati huu ambapo umesajili watu wa nguvu.

Sasa katika eneo hilo la Lugha ikamleta huyu hapa KARIM HELASI kutoka Nchini Dr Congo ili atumike kwenye kuunganisha watu kwenye Upande huo.

Mr Karim yeye anayo uwezo Mkubwa wa kuzungumza Lugha Saba bila shida yoyote ile, anazungumza.

Kiswahili, Kifaransa, Kingereza, Kireno, Kilingala, Kiarabu na Kihespagnol.

Ni msomi kweli huyu, amesoma na anaijua kazi yake.

Hayo yamesemwa na Shaffih Dauda.

No comments