Huu Ni Mchezo Wa Caf Confederation Cup Round 1-Two Legs, Ambapo Apo Mwanzo Azam aliibuka Na Ushindi Wa Goli 3 - 1 Hapa Hapa Tanzania Magoli Yakifungwa Na Ayoub Lyanga, Ilunga Mbombo, Lusajo Mwaikenda.
Leo Hii Wanakutana Tena ikiwa ni Raundi ya Pili Baada ya Raundi Ya Kwanza Kutamatika.
(Via;GLOBAL)
BURUDIKA!

0 Comments