Inadaiwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Mhe. Freeman Mbowe anakaa katika Magereza ya wale watu wanaosubiliwa Kunyongwa, unadhani Mhe. Freeman Mbowe ameshahukumiwa tayari na nini Maoni Yako Juu ya Hili?
Post a Comment