WAGONJWA 408 WA CORONA VIRUS WAGUNDULIKA NCHINI

Waziri wa afya nchini Tanzania, Dk. Dorothy Gwajima, leo Jumamosi amesema, hadi kufika 8 Julai 2021, nchini wamebainika wagonjwa 408 wa corona. Kati yao 284 wanatumia mashine za oksijeni kupumua.

Aidha, Waziri Dorothy Gwajima amewataka Wakuu wa Mikoa na Wilaya pamoja na viongozi mbalimbali kutoa elimu kwa wananchi katika maeneo yao kuepuka maambukizi dhidi ya virusi vya corona.

No comments