VITAMBULISHO VYA WAFANYABIASHARA VIKO TAYARI-MWINYI

Rais wa Zanzibar Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema,.Watatoa vitambulisho kwa Wafanyabiashara wadogo wadogo ili kufanikisha ule utaratibu wa kulipa kwa mwaka, vitambulisho hivyo vipo tayari.

Vile vile amesema ule mpango wa mitaji kwa vikundi vya wajasiriamali uko mbioni kukamilika.

"Tutakaporudi tena haitakuwa tena hapa barabarani, nitakuja katika maeneo yenu rasmi kuhakikisha miradi kama imetekelezwa."---> MWINYI

Hayo yamesemwa akiw katikq Ziara yake Mkoa wa Kaskazini, Kinyasini leo.

No comments