OLIMPIKI KUFANYIKA AUSTRALIA MNAMO 2032

Jiji la Australia la Brisbane litakuwa mwenyeji wa Olimpiki za msimu wa joto mnamo 2032 baada ya Kamati ya Olimpiki ya Kimataifa (IOC) kupitisha pendekezo hilo.

"Kamati ya Olimpiki ya Kimataifa ina inapenda kutangaza kwamba Michezo ya Olimpiki ya 35 yatafanyika Brisbane, Australia," Rais wa IOC Thomas Bach alisema Jumatano baada ya kupiga kura katika mji mkuu wa Japani, Tokyo.

No comments