OKONKWO ASAJILIWA TIMU YA WAKUBWA ARSENAL

Klabu ya Arsenal imemsainisha Golikipa wao wa kikosi cha pili Arthur Okonkwo mkataba wa muda mrefu kuendelea kuitumikia klabu hiyo.

Pia, Okonkwo mwenye umri wa miaka 19 amepandishwa kwenye kikosi cha kwanza (Timu ya wakubwa) na kupewa namba mpya ya jezi (Namba 33).

No comments