MONALISA AMPONGEZA MTOTO WAKE SONIA

"Haleluya, Mungu wangu ni mwema, Ahsante Mungu wangu, Ahsante mwanangu @soniamonalisa kwa kutupatia matokeo mazuri, tangu mchana nilipopata matokeo sijielewi elewi yaani maana najua wakati mgumu uliopitia kipindi cha mitihani. Ilikuwa ni mtihani mkubwa lakini yote ni shetani na ameshindwa in Jesus name"

"Ahsante walimu wote wa TUSIIME kwa miaka 6 ya bidii"

"Ahsante pia @globaleducationlinktz kwa kuwa nasi mwaka wa mwisho wa masomo ya binti yangu."--- monalisatz

No comments