Advertisement

Responsive Advertisement

MARTINE MOISE ARUDI HAITI BAADA YAKUPATA MATIBABU MAREKANI

Martine Moïse (FIRST LADY), mke wa Rais wa Haiti aliyeuawa Jovenel Moïse amerudi Haiti baada ya kupata matibabu nchini Marekani.

Alijeruhiwa katika shambulio pamoja na mumewe walipokuwa wamelala nyumbani kwao Port-au-Prince na kutibiwa katika hospitali ya Florida. 
#MartineYukoHai🙏 

Post a Comment

0 Comments