JOHN PAMBALU AWAONYA VIONGOZI WA UVCCM

"Nimesikia vijana wa UVCCM wakisema Mhe. Mbowe aombe radhi kwa ajili ya maneno ya Mdude. Nyinyi wa-Pemba ni mashahidi juu ya mauaji ya kutisha ya wa-Pemba katika uchaguzi wa October 2020. Je, Mhe. Samia Tena Mzanzibar Mwenzenu alikuja kuwaomba radhi kufatia mauaji ya ndugu zenu"

"Yeye si ndiye aliyesema kuwa hata chama kingine kikishinda CCM ndiyo itakayounda serikali. Lini amekuja kuwaomba radhi baada ya dola kutumia nguvu kubwa kutekeleza kauli yake"

"Tusitolewe kwenye agenda kuu nayo ni KATIBA MPYA. Natamani kuona Tanzania ikipata Katiba Mpya itakayotoa serikali tatu yenye mamlaka kamili ya Zanzibar."--->Mwenyekiti wa Bavicha Taifa, Mhe. @johnpambalu.

No comments