ITALY WAFUZU FAINALI

Italy rasmi wamefuzu Fainali ya #EURO2020, baada ya kuondoka na ushindi wa Penalti 4-2 dhidi ya Spain.

Italy 1 - 1 Spain.
60' Federico Chiesa 80' Alvaro Morata
PEN 4-2

Mechi inayosubiliwa kwa hamu ni Englaand dhidi ya Denmark leo saa 4:00 Usiku, ili kujua nani anaenda fainali na Italy.

Nini utabiri wako kuelekea utabiri mechi hii? 

No comments