Goli hilo lilifungwa dakika ya 22 ya mchezo na Angel Di Maria.
Ushindi huo unakuwa ni taji la kwanza la kimataifa kwa mwanasoka Lionel Messi.
Ushindi huo unakuwa ni taji la kwanza la kimataifa kwa mwanasoka Lionel Messi.
Katika mashindano hayo Messi amecheza michezo saba, amefunga magoli manne na kutoa usaidizi wa magoli matano.
0 Comments