YALIYOJIRI CHUO CHA MIPANGO DODOMA

Jana Tarehe 22.06.2021 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Ummy Mwalimu amefunga Kikao Kazi cha Wakuu wa Idara za Utawala na Rasilimaliwatu katika Utumishi wa Umma- Chuo cha Mipango Dodoma

YALIOJIRI NI HAYA

1. Halkadhalika ili kuzipunguzoa mzigo Halmashauri kupitia Bajeti ya Serikali Kuu 2021/22 Serikali italipa Posho za Mwezi za Madiwani katika Halmashauri 168.

2. Niwasisitize Maafisa Utumishi Kutenda Haki kwa Watumishi mnaowasimamia wanaoatakiwa kupanda Madaraja wapande na wale wanaostahili Motisha wapewe ili kuwatoa moyo wa kufanya kazi.

3. Maafisa Utumishi Katika Kurekebisha Watumishi unatakiwa pia kusikiliza watumishi wako na kuwalelewa wengine wana changamoto ukiwa unaskiliza utawafahamu kwa undani na utajua namna ya kuwaskiliza zaidi ya kutoa adhabu tu kila wakati.

4. Tumieni Fursa ya Uwepo wa Mifumo ya TEHAMA Kufuatilia Utendaji kazi na mwenendo wa watumishi wenu ili muweze kutenda haki mnapochukua maamuzi.

5. Maafisa Utumishi Mnaowajibu wa kuendeleza mafanikio makubwa ambayo Serikali za awamu ya Sita inafanya katika kuchochea Maendeleo.

6. Tumieni Vizuri rasilimali watu ili kuchochea Maendeleo ya Nchi yetu

No comments