SABAYA LAZIMA NIMPELEKE MAHAKAMANI-MBOWE
"Leo Sabaya amepelekwa mahakamani na amefunguliwa mashtaka Sita, hayo machache sananbado yakwangu mengi sijapeleka nina ushahidi wa kutosha, amekata watu masikio, amekataka watu mikono na kuwaingizia chupa sehemu za siri, ataozea Gerezani na akitoka tutadili nae - Mh.Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema Taifa".
Post a Comment