Advertisement

Responsive Advertisement

RONALDO AFIKISHA FOLLOWERS MILIONI 300 INSTAGRAM

Cristiano Ronaldo anakua mtu wa kwanza Duniani kufikia alama ya wafuasi milioni 300 kwenye kwenye Ukurasa wake wa Instagram.

Kulingana na ripoti ya mwaka jana, Ronaldo pia ndiye mtu mashuhuri anayepata mapato makubwa kutoka Instagram. 

Kuanzia Machi 2019 hadi Machi 2020, Ronaldo alipata pesa nyingi kwenye Instagram kutoka kwa machapisho yaliyofadhiliwa.

Alibeba $ 50.3 milioni ambayo ni zaidi ya mshahara anaopata ($ 33m) katika Klabu yake ya Juventus. 

Mapato yake yalikuwa mengi kuliko hata mtu mashuhuri wa mtandao Kylie Jennerm

Post a Comment

0 Comments